Tanzania Bara na Zanzibar Watinga Nusu Fainali ya CECAFA Tusker Challenge.
Timu ya Kilimanjaro Stars (pichani juu) imeshinda bao 2-0 dhidi ya Rwanda huku Zanzibar (pichani chini) imeshinda kwa Penalt 6-5 dhidi ya Burundi baada ya kutofungana ndani ya dakika 90 kufuzu kuingia katika nusu fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Tusker Challenge.(Picha na Mahmoud Zubeiry Kampala).
No comments:
Post a Comment