Mkutano wa wakuu wa Nchi za SADC Jijini Dar
Rais Jakaya mrisho kikwete, akikaribisha viongozi wenzie wa nchi za SADC katika kikao cha dharura cha Jumuiya hiyo katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam Desemba 8, 2012.
Rais Jakaya mrisho kikwete, katika picha ya pamoja na viongozi wenzie wa nchi za SADC katika kikao cha dharura cha Jumuiya hiyo katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam Desemba 8, 2012.
Rais Jakaya mrisho kikwete, Rais Jacob Zuma wa Afrika ya Kusini na Rais Hifikepunye Pohamba wa Namibia pamoja na Katibu Mkuu wa SADC Dr.Tomaz Salomao. na Mawaziri wa nchi hizo wakipitia rasimu ya muhtasari wa kikao kabla ya kuanza kwa kikao cha dharura cha Jumuiya hiyo katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam Desemba 8, 2012. (Picha na IKULU).
No comments:
Post a Comment