TIMU ya Yanga ya jijini Dar es Salaam leo imelala bao 1-0 dhidi ya Zamalek katika mchezo wa marudiano wa Klabu Bingwa Afrika uliopigwa kwenye uwanja wa jeshi jijini Cairo. Kwa matokeo hayo, Yanga imeondolewa katika michuano hiyo. Goli la Zamalek limefungwa na Ahmed Hossam “Mido” katika dakika ya 31 ya…
No comments:
Post a Comment