Na Riziki Mashaka
Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Ndg. January Makamba, akiwa katika mojawapo ya vijiji nchini India wiki hii. akitazama teknolojia nafuu katika kusambaza mawasiliano bora vijijini. Katika mwaka huu wa 2014 mamlaka ya mawasiliano ya Tanzania inataka kufikisha mawasiliano katika vijiji 4,000 ambavyo vina tatizo la mawasiliano. Naibu waziri alisema ''tumezungumza na serikali kupata teknolojia hii nafuu na bora kwa vijiji vyetu Tanzania yenye thamani ya Dola za Kimarekani milioni 154'
No comments:
Post a Comment