JK Awasili Tanga Kusherehekea Mei Mosi Kesho
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na mamia ya wakaazi wa jiji la Tanga
leo April 30, 2012 baada ya kuwasili kuwa mgeni rasmi kesho katika
sherehe za Mei Mosi
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na baadhi ya mamia ya wakaazi wa
jiji la Tanga leo April 30, 2012 baada ya kuwasili kuwa mgeni rasmi
kesho katika sherehe za Mei Mosi
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa ka furaha na Katibu Mkuu Shirikisho la
Vyama vya Wafanyaakzi Tanzania (TUCTA) Bw Nicholaus Mgaya leo April
30, 2012 baada ya kuwasili kuwa mgeni rasmi kesho katika sherehe za Mei
Mosi
PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment