CHADEMA Wazidi Kuvuna CCM
Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya Mbozi Bwana Joseph Mwachembe akimkabidhi kadi ya uwanachama wa chadema Bi Happiness
Maelfu ya wakazi wa Mbozi walihudhuria mkutano huo
Mchumi
wa CCM wilaya ya Mbozi Bi Happiness Kwilabya ajiunga na CHADEMA,
akifuatana na wanachama 18 Bi Happiness akikaribishwa jukwaani na
viongozi wa chadema
Bi Happiness akivishwa skafu ya chadema
Kwa hisani ya Mbeyayetublog
No comments:
Post a Comment