KARIBUNI

Pata habari za kila siku, burudani,matangazo, na mengineyo mengi pia unaweza kuacha maoni yako kuhusu tovuti hii.

Monday, 30 April 2012

Dkt. Mbasa (MB) CHADEMA Ashinda Kesi Biharamulo

Habari tulizozipata usiku huu na kuthibitishwa na Mh.Conchesta Rwamlaza MB CHADEMA,ni kuwa Dkt.Anthony Mbasa ameshinda kesi dhidi ya maombi ya kutenguliwa ubunge wake.katika hali isiyokuwa ya kawaida jaji alichelewa sana kuingia mahakamani,na hukumuimesomwa mfululizo hadi usiku.

No comments:

Post a Comment