KARIBUNI

Pata habari za kila siku, burudani,matangazo, na mengineyo mengi pia unaweza kuacha maoni yako kuhusu tovuti hii.

Thursday, 6 March 2014

Baadhi ya majengo ya mradi huo yakiendelea na ujenzi.
Baadhi ya majengo ya mradi huo yakiendelea na ujenzi.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Dk. Ramadhan Dau (kushoto) akifafanua jambo kwa Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa NSSF walipotembelea mradi wa Dege ECO Village wa Kigamboni jijini Dar es Salaam leo. Wa pili kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya NSSF, Abubakar Rajabu akifuatilia.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Dk. Ramadhan Dau (kushoto) akifafanua jambo kwa Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa NSSF walipotembelea mradi wa Dege ECO Village wa Kigamboni jijini Dar es Salaam leo. Wa pili kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya NSSF, Abubakar Rajabu akifuatilia.width="382"]
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Dk. Ramadhan Dau akizungumzia kwa kifupi mradi wa ujenzi wa nyumba bora za kisasa ujulikanao 'Dege ECO Village' unaoendelea Kigamboni.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Dk. Ramadhan Dau akizungumzia kwa kifupi mradi wa ujenzi wa nyumba bora za kisasa ujulikanao 'Dege ECO Village' unaoendelea Kigamboni.
Viongozi mbalimbali wa NSSF pamoja na Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa NSSF wakiangalia video ya muonekano wa ujenzi wa nyumba bora za kisasa ujulikanao 'Dege ECO Village' unaoendelea Kigamboni, utakavyo kuwa baada ya kukamilika.

Mkurugenzi wa Kampuni ya Azimio, Mohamed Ikubal (mwenye kanzu) akitoa ufafanuzi kwa wajumbe wa Bodi ya NSSF kwenye jengo la mauzo ya nyumba za mradi wa Dege ECO Village, eneo hilo ndilo litakalokuwa likiendesha mauzo na taratibu zote za mradi baada ya kukamilika.

Mkurugenzi wa Kampuni ya Azimio, Mohamed Ikubal (mwenye kanzu) akiwaonesha wajumbe wa Bodi ya NSSF jengo la mauzo ya nyumba za mradi wa Dege ECO Village, eneo hilo ndilo litakalokuwa likiendesha mauzo na taratibu zote za mradi baada ya kukamilika. Mkurugenzi wa Kampuni ya Azimio, Mohamed Ikubal (mwenye kanzu) akiwaonesha wajumbe wa Bodi ya NSSF jengo la mauzo ya nyumba za mradi wa Dege ECO Village, eneo hilo ndilo litakalokuwa likiendesha mauzo na taratibu zote za mradi baada ya kukamilika.
Viongozi mbalimbali wa NSSF pamoja na Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa NSSF wakiangalia video ya muonekano wa ujenzi wa nyumba bora za kisasa ujulikanao 'Dege ECO Village' unaoendelea Kigamboni, utakavyo kuwa baada ya kukamilika.Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya NSSF, Abubakar Rajabu (katikati) akizungumza na viongozi mbalimbali wa NSSF pamoja na Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa NSSF walipotembelea mradi wa 'Dege ECO Village' unaoendelea Kigamboni, utakao kuwa na nyumba bora na za kisasa eneo hilo.
Viongozi mbalimbali wa NSSF pamoja na Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa NSSF wakiangalia video ya muonekano wa ujenzi wa nyumba bora za kisasa ujulikanao 'Dege ECO Village' unaoendelea Kigamboni, utakavyo kuwa baada ya kukamilika.
Viongozi mbalimbali wa NSSF pamoja na Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa NSSF wakiangalia video ya muonekano wa ujenzi wa nyumba bora za kisasa ujulikanao 'Dege ECO Village' unaoendelea Kigamboni, utakavyo kuwa baada ya kukamilika.
WAJUMBE wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) leo wametembelea mradi wa ujenzi wa nyumba za kisasa unaojulikana kwa jina la Dege ECO Village unaojengwa eneo la Kigamboni nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment