Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza laMapinduzi Alhajj Dk.Ali Mohamed Shein,pamoja na Viongozi wenginewakijumuika na waislamu na wananchi katika swala ya EID el Hajjkatika Msikiti wa Mwembeshauri Mjini Zanzibar Leo.[Picha na RamadhanOthman,Ikulu.]
Baadhi ya Waislamu na wananchi wakisikiliza Hotuba,baadaya Swala ya Eid el Hajj iliyotolewa na Sheikh Soraga,katika Msikiti waMwembeshauri Mjini Zanzibar Leo.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la MapinduziAlhajj Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na waumini ya Dini yaKiislamu baada ya kuswali swala ya EID el Hajj katika Msikiti waMwembeshauri Mjini Zanzibar Leo.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
No comments:
Post a Comment