Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimfariji mke wa aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Liberatus Barlow, wakati alipofika nyumbani kwa marehemu Ukonga jijini Dar es Salaam, leo Oktoba 16, kushiriki katika shughu za msiba huo na kutoa heshima za mwisho wakati wa shughuli ya kuaga mwili wa marehemu huyo aliyeuawa hivi karibuni jijini Mwanza.
Picha na OMR
|
No comments:
Post a Comment