MALAMPAKA.COM
KARIBUNI MALAMPAKA.COM
Sunday, 9 September 2012
Picha za Ufunguzi wa Bunge la Tatu la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA)
Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA) wakiwa Bungeni (picha: Habari Mseto blog)
Sehemu ya wabunge wakimsikiliza Rais Kibaki (picha: Habari Mseto blog)
Rais Mwaki Kibaki akisalimiana na Mbunge wa Afrika Mashariki kutoka Tanzania Shy-Rose Bhanji (picha: Habari Mseto blog)
Wabunge wengine akiwemo Abdullah Mwinyi naye akisalimiana na Rais Mwai Kibaki (picha: Habari Mseto blog)
Maafisa wa Bunge la Jamhuri ya Muungano katika picha ya pamoja na Mbunge Shy-Rose Bhanji mara baada ya ufunguzi. (picha: Habari Mseto blog)
No comments:
Post a Comment
‹
›
Home
View web version
No comments:
Post a Comment