breaking news!!!!!!!!!! regia mtema mb chadema amefariki
Taarifa zilizotufikia karibuni na kuthibitishwa na John Heche Mwenyekiti wa BAVICHA taifa ni kuwa mh MTEMA amefariki katika ajali ya gari leo saa 5 asubuhi maeneo ya Ruvu. tutawaletea habari zaidi na usahihi wa taarifa hizi
JUMAPILI NJEMA KAKA
ReplyDelete