Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Anne Makinda wa wanne pande zote mbili akiwa Naibu wake Job Ndugaiwa pili (kulia) wakiwa na baadhi ya ujumbe kutoka China.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Anne Makinda akizungumza na ujumbewa watu 12 kutoka nchini China, ukiongozwa na Makamu wa Mwenyekiti wa The Chinese Peoples Politicla Consultative Conference (CPPCC).
No comments:
Post a Comment