Sunday, 7 August 2011

Hali ilivyokuwa nyumbani Kwa Marehemu Meja Jenerali Mayunga Leo Mchana


Mratibu wa shughuzi za mazishi ya Meja Jenerali, Silas Mayunga, Kanali Christopher Lusinde (katikati), akiajidiliana jambo na ndugu na jamaa wa marehemu Meja Jenerali Mayunga,leo mchana nyumbani kwa marehemu Ilala, jijini Dar es Salaam. 
Mzee Abruhaman Kinana, (wa pili kushoto) , akijadiliana jambo na Mratibu wa shughuzi za mazishi ya Meja Jenerali, Silas Mayunga, Kanali Christopher Lusinde (wa kwanza kushoto) leo mchana, Ilala jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment