Thursday, 14 July 2011

Rostam Aziz Akisoma Hotuba Yake Ya Kujiuzulu Jana Igunga

Rostam Aziz(kushoto)akisoma hotuba yake ya kujiuzulu mbele ya wazee na wanachama wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Igunga, ambao wengi wao waliangua kilio baada ya kusikiliza tamko lake.

No comments:

Post a Comment