Naibu Waziri Lazaro Nyalandu Akiteta na Waheshimiwa Wabunge
Naibu Waziri wa Viwanda,Biashara na Masoko Lazaro Nyalandu katikati na Mbunge wa Viti Maalum Singida Martha Mlata kushoto wakimsiliza kwa makini mbunge wa Jimbo la Kilindi Beatrice Shelukindo katika viwanja vya Bunge Dodoma jana
No comments:
Post a Comment